Tazama mataifa ambayo yameshinda kombe la Euro

Ujerumani na Uhispania wanaongoza kwa kushinda mataji mengi ya Euro

Muhtasari

•Ujerumani na Uhispania wanaongoza kwa kutwaa mataji mengi ya Euro

•Timu hizo mbili aidha zitakuwa zinamenyana kwa hatua ya robo fainali ya Euro 2024

Mataifa ambayo yameshinda kombe la Euro zaidi
Image: William Wanyoike