Baadhi ya watu mashuhuri waliohudhuria hafla ya shujaaz katika bustani ya Uhuru

Katika hafla hiyo ya siku ya Saba-Saba, vijana walianika misalaba yenye majina ya wenzao waliofariki wakati wa purukushani na polisi maeneo mbalimbali nchini wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha.