EURO 2024: Unachohitaji kujua kuhusu mechi ya Uingereza vs Uholanzi kwenye nusu fainali

Uholanzi ilifuzu kwa fainali yao ya mwisho mwaka 1988 na kwenda mbele kuibuka mabingwa huku Enfland wakifika fainali na kupoteza mwaka 2021.