Historia ya visa vya marais na wagombea urais Marekani kushambuliwa kwa risasi

Wikendi iliyopita, aliyekuwa rais wa awamu ya 45 wa Marekani ambaye pia anawania kurudi ofisini kama rais, Donald Trump alinusurika kifo katika shambulio la risasi kwenye kampeni zake, Pennyslavia.

Muhtasari

• Baadhi ya walioshambuliwa waliangamia kutokana na majeraha mabaya ya risasi huku wengine wakisalia na risasi miilini mwao hadi kufa.

NYAKATI MARAIS WA MAREKANI WALIPIGWA RISASI
NYAKATI MARAIS WA MAREKANI WALIPIGWA RISASI
Image: WILLIAM WANYOIKE
NYAKATI MARAIS WA MAREKANI WALIPIGWA RISASI
NYAKATI MARAIS WA MAREKANI WALIPIGWA RISASI
Image: WILLIAM WANYOIKE