Tazama baadhi ya makosa yaliyojitokeza siku za kwanza za Olimpiki ya Paris

Timu ya mpira wa vikapu ya Sudan Kusini ilichezewa wimbo wa taifa usiofaa wakati wa mchuano dhidi ya Puerto Rico.

Muhtasari

•Kamati ya Olimpiki ya Paris imeomba radhi kwa baadhi ya makosa kama vile Korea Kusini kutambulishwa kama Korea Kaskazini, picha ya mfano wa ‘Last Supper' kutumika, na Sudan Kusini kuchezewa wimbo wa taifa usio sahihi.

Makosa yaliyojitokeza siku za kwanza za mashindano.
Olimpiki ya Paris Makosa yaliyojitokeza siku za kwanza za mashindano.