Beatrice Askul Moe: Mfahamu aliyeteuliwa kuchukua usukani kwenye wizara ya EALA

Iwapo atathibitishwa, atakuwa mwanamke wa kwanza kutoka jamii ya Turkana kuhudumu katika baraza la mawaziri.

Muhtasari

•Beatrice Askul ni miongoni mwa waliopendekezwa na rais Ruto kuchukua nyadhifa mbalimbali za baraza la mawaziri.

kuhusu mteule wa wizara ya EALA
Maelezo kuhusu mteule wa wizara ya EALA
Image: ROSA MUMANYI