Safari ya masaibu ya Kawira Mwangaza kama gavana wa kaunti ya Meru

Gavana huyo alishinda uchaguzi wa ugavana wa Meru mwaka 2022 akiwania kama mgombea huru na miezi 3 tu ofisini, hoja ya kwanza ya kumbandua ofisini ikapitishwa katika bunge la kaunti ya Meru.

Muhtasari

• Mpaka sasa, jumla ya hoja 5 za kumbandua ofisini zimejadiliwa kaitka bunge la kaunti ya Meru, 3 zikipitishwa.

• Hoja za kwanza mbili zilizopitishwa kumbandua ofisini ziliishia kubatilishwa na bunge la seneti.

masaibu ya kawira mwagaza,
masaibu ya kawira mwagaza,
Image: WILLIAM WANYOIKE
MASAIBU YA KAWIRA MWANGAZA
MASAIBU YA KAWIRA MWANGAZA
Image: WILLIAM WANYOIKE