â˘Mwanariadha matata wa Kenya Faith Kipyegon alivunja rekodi ya Olimpiki katika mbio za mita 1500 kwa wanawake.