Barabara ambazo KeNHA inapendekeza wenye magari walipishwe kutumia

KeNHA imetangazwa kwamba umma utashirikishwa kabla ya utekelezaji wa kodi.

Muhtasari

•Barabara kuu ya Thika, Nairobi Southern Bypass na Mombasa Southern Bypass ni miongoni mwa barabara ambazo huenda zikaathirika.

ambazo KeNHA inapendekeza kuwatoza watumiaji
Barabara ambazo KeNHA inapendekeza kuwatoza watumiaji
Image: WILLIAM WANYOIKE