Black Spots: Maeneo yenye ajali nyingi katika barabara za Bonde la Ufa

Eneo la Salgaa hadi ADC Farm na barabara ya Kinungi - Naivasha- Gilgil ni maeneo ambayo yamegharimu maisha ya wengi kufuatia ajali za mara kwa mara.