Mfahamu mfanyibiashara Jimi Wanjigi aliyeshtakiwa kwa kumiliki bunduki bila leseni

Wanjigi ni mfanyibiashara na mwanasiasa maarufu nchini Kenya.

Muhtasari

•Wanjigi alikamatwa Jumatatu na kuzuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Kamukunji licha ya kuwa na amri ya kuzuiwa kukamatwa kwake.

Mfahamu Jimi Wanjigi
Image: WILLIAM WANYOIKE