logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Magavana ambao kutimuliwa kwao ofisini na MCAs kulidumishwa na bunge la seneti

Naibu gavana ni mmoja tu amebanduliwa ofisini na seneti - wa kaunti ya Kisii.

image
na Davis Ojiambo

Habari21 August 2024 - 13:50

Muhtasari


  • • Gavana wa Meru Kawira Mwangaza amekuwa akipitia masaibu kama yale yaliyomkuta gavana wa kwanza wa Embu Martin Wambora.
  • • Mwangaza aliokolewa na seneti mara 2 lakini mara ya 3 seneti ilidumisha uamuzi wa bunge la kaunti ya Meru kumbandua ofisini.
Magavana kutimuliwa ofisini,

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved