Mwanahabari Salim Swaleh ni nani?- Fahamu zaidi kumhusu

Swaleh amekuwa akivuma mitandaoni baada ya kuomba msamaha katika video ya kihisi aliyorekodi Agosti 26.

Muhtasari

•Mtangazaji huyo wa habari za runinga wa zamani alikamatwa mnamo Juni 22, 2024 kwa madai yanayohusiana na ulaghai.

Mfahamu mwanahabari Salim Swaleh
Image: WILLIAM WANYOIKE