Mambo muhimu kuhusu wadhifa wa mwenyekiti wa AUC

Kinara wa upinzani Raila Odinga Jumanne alizindua rasmi kampeni yake ya kuwania wadhifa huo utakaoachwa wazi baada ya hatamu ya Moussa Faki kumalizika Februari mwaka 2025.

Muhtasari

• Mwenyekiti wa AUC ndiye afisa mkuu mtendaji na mwakilishi wa kisheria wa umoja wa Afrika, AU.

• Huchaguliwa kwa kupigiwa kura katika bunge la Afrika linalopatikana jijini Addis Ababa, Ethiopia.

RAILA NA MAJUKUMU YA AUC
RAILA NA MAJUKUMU YA AUC