Unachohitaji kujua kuhusu mfumo mpya wa droo ya Ligi ya Mabingwa 2024

Jumla ya vilabu 36 vitashirikishwa kwenye droo hii huku kila klabu ikiratibiwa kuchuana na vilabu 8 kwenye hatua ya makundi.

Muhtasari

• Mechi za kwanza zitachezwa Septemba 17.

• Droo hiyo itafanyika katika mji wa Monaco.

Mfumo mpya wa UCL
Mfumo mpya wa UCL