Tazama vilabu ambavyo wachezaji wake waliteuliwa kuwania Ballon d'Or

Orodha ya wachezaji 30 wanaowania Ballon d'Or 2024 ilitolewa mnamo Septemba 4, 2024.

Muhtasari

•Wachezaji 30 kutoka vilabu kumi na vinne tofauti wameteuliwa kuwania tuzo ya kifahari ya Ballon d'Or la mwaka wa 2024.

ambavyo wachezaji wake waliteuliwa kuwania Ballon d'Or
Vilabu ambavyo wachezaji wake waliteuliwa kuwania Ballon d'Or
Image: WILLIAM WANYOIKE