Fahamu kuhusu misiba ya moto mibaya zaidi kuwahi kutokea katika shule za Kenya

Mkasa wa Shule ya Hillside Endarasha Academy ndio wa hivi punde na ulisababisha vifo vya wanafunzi 17.

Muhtasari

•Takriban wanafunzi 136 wameaga katika mikasa ya moto katika shule mbalimbali za Kenya tangu mwaka wa 1998.

mibaya zaidi kuwahi kutokea shuleni za Kenya
Misiba ya moto mibaya zaidi kuwahi kutokea shuleni za Kenya
Image: WILLIAM WANYOIKE