Wafahamu wanariadha waliofariki katika hali tatanishi nchini Kenya

Takriban wanariadha nane wamefarki katika mazingira tatanishi nchini Kenya katika kipindi cha miaka 5 iliyopita.

Muhtasari

•Wanariadha 2 wa Uganda na kadhaa wa Kenya wamepoteza maisha nchini Kenya chini ya mazingira ya kutatanisha katika miaka ya hivi majuzi.

waliofariiki katika hali tatanishi nchini Kenya.
Wanariadha waliofariiki katika hali tatanishi nchini Kenya.
Image: HILLARY BETT