Migomo ambayo imetokea nchini Kenya mwaka wa 2024

Baadhi ya makundi na miungano ya wafanyikazi imeshiriki katika migomo kulalamikia masuala kadhaa mwaka huu.

Muhtasari

•Wafanyikazi wa KAA, wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali na wahadhiri wa chuo kikuu cha Moi bado wanaendelea na migomo yao.

ambayo imefanyika Kenya 2024
Migomo ambayo imefanyika Kenya 2024
Image: WILLIAM WANYOIKE