Matukio ya moto shuleni katika kipindi cha wiki moja iliyopita

Mkasa mbaya zaidi kutokea katika kipindi cha wiki moja iliyopita ni ule wa moto katika shule ya msingi ya Hillside Endarasha uliogharimu maisha ya watoto 21`.