Adani Group: Fahamu shirika la India linalopendekezwa kuchukua usimamizi wa JKIA

Shikrika hilo la India limependekezwa kuchukua usimamizi wa Uwanja wa Ndege wa JKIA.

Muhtasari

•Wafanyikazi wa JKIA wamegoma kupinga pendekezo la kuchukuliwa kwa uwanja huo wa ndege wa Kimataifa na Shirika la Adani Group.

ni akina nani?
Adani Group ni akina nani?
Image: ROSA MUMANYI