Fahamu njia za kuzuia visa vya kujitoa uhai katika jamii

Dunia huadhimisha mwezi wa kuzuia kujitoa uhai kuanzia Septemba 1 hadi Septemba 30.

Muhtasari

•Kuimarisha uwezo wa kiuchumi, kuboresha uhusiano wa familia, na kukuza uhusiano mzuri ni baadhi ya njia za kuzuia visa vya kujitoa uhai.

za kuzuia visa vya kujitoa uhai
Njia za kuzuia visa vya kujitoa uhai
Image: WILLIAM WANYOIKE