Matokeo ya mataifa ya Afrika katika Olimpiki ya Walemavu 2024

Mashindano hayo ya dunia yalichezwa kati ya Agosti 28 - Septemba 8, 2024

Muhtasari

•Kenya iliibuka nambari tisa barani Afrika na 75 duniani baada ya kufanikiwa kushinda medali moja pekee ya fedha.

Image: ROSA MUMANYI
Image: ROSA MUMANYI