Wapenzi ambao wamethibitisha kuvunjika kwa ndoa zao mwaka huu

Mwezi uliopita, Size 8 alitangaza kuvunjika kwa ndoa yake na DJ Mo baada ya kuishi pamoja kwa zaidi ya miaka 10.