Fahamu makubaliano ya kurejea kazini kwa wafanyakazi wa viwanja vya ndege

Shughuli za kawaida zilirejea JKIA na viwanja vingine baada ya mkutano wa wafanyakazi, serikali na COTU.

Muhtasari

•Baadhi ya mambo yalikubaliwa ni wafanyakazi kupata hati za kandarasi ya Adani, mazungumzo ya CBA kuharakishwa, na hakuna kudhulumiwa kutokana na mgomo.

ya kurejea kazini kwa wafanyakazi wa viwanja vya ndege.
Makubaliano ya kurejea kazini kwa wafanyakazi wa viwanja vya ndege.
Image: WILLIAM WANYOIKE