Kutoka kwa Anthony Martial hadi kwa Endrick: Wanasoka waliofunga ndoa na umri mdogo

Martial alifunga ndoa mwaka wa 2015 siku chache baada ya kujiunga na Manchester United akiwa na umri wa miaka 19 tu huku Endrick wa Real Madrid akifunga wiki hii na umri wa miaka 18.

Muhtasari

• Endrick mwenye umri wa miaka 18 aliwashangaza wengi alipofunga harusi na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 23.

WANASOKA WADOGO WALIOFUNGA NDOA
WANASOKA WADOGO WALIOFUNGA NDOA
Image: ROSA MUMANYI