Maelezo kamili kuhusu mashtaka 115 ya EPL dhidi ya Manchester City

Uongozi wa EPL unatuhumu Manchester City kwa kukiuka kanuni mbalimbali kati ya 2009 na 2018 na kesi hiyo ilianza kusikilizwa jUMATATU YA sEPTEMBA 16, 2024.

Muhtasari

• Mashtaka 54 kati ya hayo ni ya kushindwa kutoa taarifa sahihi za kifedha kati ya 2009 na 2018.

MASHTAKA 115 YA EPL DHIDI YA MAN CITY
MASHTAKA 115 YA EPL DHIDI YA MAN CITY
Image: ROSA MUMANYI