Wachezaji walioonyeshwa kadi nyingi za manjano kwenye EPL

Aliyekuwa mchezaji wa Man United, Wayne Rooney aliwahi kuonyeshwa kadi ya manjano mara 102.

Muhtasari

•Gareth Barry aongoza orodha ya wachezaji ambao wana kadi nyingi za manjano katika historia ya ligi kuu Uingereza.

Orodha ya kadi za Manjano.
Image: Rosa Momanyi