Mfahamu mwanzilishi wa bendi ya Them Mushrooms, Teddy Kalanda Harrison

Them Mushrooms ilianzishwa mwaka 1972 chini ya jina Avenida Success, Teddy na kaka zake, Billy Sarro, George Zirro, Pius Plato Chitianda, John Katana, na Pritt Nyale wakiwa waanzilishi.

Muhtasari

• Harrison, anayefahamika sana kwa kutunga wimbo wa Jambo Bwana, alikuwa na afya mbaya kwa miaka kadhaa.

• Mnamo 2018, aliingia kwenye mitandao ya kijamii, akishiriki kwamba alikuwa amefungwa kwenye kiti cha magurudumu na alikuwa akipatiwa matibabu.

THEM MUSHROOMS
THEM MUSHROOMS
Image: hillary bett