Wafahamu marais wa Afrika waliotimia miaka 80

Rais Yoweri Museveni wa Uganda alitimiza miaka 80 mnamo Septemba 15, 2024.

Muhtasari

•Rais Paul Biya wa nchi ya Cameroon ndiye rais mkongwe zaidi barani Afrika akiwa na umri wa miaka 90.

wa Afrika waliotimia miaka 80.
Marais wa Afrika waliotimia miaka 80.
Image: WILLIAM WANYOIKE