Wafahamu wanasoka maarufu waliochumbia mwanamke mmoja

Christiano Ronaldo na mchezaji mwenzake wa zamani Sergio Ramos walichumbia mrembo Nereida Gallardo.

Muhtasari

•Mke wa Mario Lemina, Bi Fanny Neguesha, aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Mario Balotelli na Cheikhou Kouyate.

waliochumbia mwanamke mmoja nyakati tofauti.
Wanasoka waliochumbia mwanamke mmoja nyakati tofauti.
Image: WILLIAM WANYOIKE