Takwimu za ajali barabarani kati ya Januari na Septemba, watu 3369 wakipoteza maisha

Jumla ya vifo 3369 vimetokea kutokana na ajali za barabarani, watu 1281 kati ya hao wakiwa ni watembea kwa miguu.

Muhtasari

• Vifo 825 vilihusisha watumia pikipiki barabarani.

TAKWIMU ZA JAALI BARABARANI
TAKWIMU ZA JAALI BARABARANI