Douglas Kanja: Mfahamu Inspekta Jenerali mpya wa Polisi

Kanja anachukua nafasi ya Japheth Koome ambaye alijiuzulu mnamo Julai 12, 2024.

Muhtasari

•Kanja ambaye ni mzaliwa wa Nyeri ni mtaalamu wa silaha ambaye amehudumu katika vitengo mbalimbali kwenye Idara ya Polisi.

Mfahamu Inspekta Jenerali mpya wa Polisi.
Douglas Kanja: Mfahamu Inspekta Jenerali mpya wa Polisi.
Image: ROSA MUMANYI