Timu bora za kandanda barani Afrika 2024 kulingana na FIFA

Harambee Stars ya Kenya imeorodheshwa nambari 23 barani Afrika na 102 ulimwenguni ikiwa na alama 1208.96

Muhtasari

•Atlas Lions ya Morocco imeorodheshwa kama timu bora zaidi barani Afrika, ikifuatiwa na Senegal, Misri na Cote d'Ivoire.

bora za kandandanbarani Afrika mwaka wa 2024.
Timu bora za kandandanbarani Afrika mwaka wa 2024.
Image: WILLIAM WANYOIKE