wachezaji wa Uingereza ambao wamefunga mabao mengi katika Kombe bingwa ulaya

Mchezaji wa Bayern Munich Harry Kane aongoza orodha ya wachhezaji ambao wamefunga mabao mengi na Kumpiku Wayne Rooney.

Muhtasari

•Harry Kane aongoza orodha ya wachezaji kutoka Uingereza ambao wamefunga mabao mengi kwenye kombe la mabingwa na kumpiku aliyekuwa mchezaji wa Manchester United Wayne Rooney.

orodha ya wachezaji kutoka Uingereza
Image: Rosa Momanyi