Ripoti ya jinsi wanafunzi walivyojiunga na kidato cha kwanza

Wizara ya Elimu imetoa ripoti ya jinsi watahiniwa wa KCPE 2023 walivyovuka daraja hadi sekondari.

Muhtasari

•Jumla ya wanafunzi 1,394, 444 walichaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka wa 2024, wavulana 701,066 na wasichana 693,378.

walivyojiunga na kidato cha kwanza
Watahiniwa walivyojiunga na kidato cha kwanza
Image: WILLIAM WANYOIKE