Tazama ada mpya za stakabadhi muhimu za serikali kuanzia Machi 1, 2024

Serikali imeanzisha utekelezaji wa ada mpya kwa huduma mbalimbali zinazotolewa na Idara ya Uhamiaji na Huduma kwa Raia.

Muhtasari

•Ada na tozo mpya zilipitiwa upya tarehe 14 Novemba, 2023, kupitia notisi ya gazeti la serikali Na. 241 iliyotolewa na waziri Kindiki.

•Ada za vyeti vya kuzaliwa ziliongezwa kutoka Sh50 hadi 200, sawa na vyeti vya vifo.

za stakabadhi muhimu za serikali
Ada mpya za stakabadhi muhimu za serikali
Image: HILLARY BETT