Tazama mambo ya kutisha yaliyofichuliwa na uchunguzi wa mwili wa Rita Waeni

Mwanapatholojia mkuu wa serikali, Dkt Johansen Oduor alifanya uchunguzi wa mwili wa Waeni siku ya Alhamisi.

Muhtasari

•Miongoni mwa mambo yaliyofichuliwa ni kwamba marehemu Rita Waeni alinyongwa kabla ya kichwa chake kukatwa.

na uchunguzi wa mwili wa Rita Waeni.
Mambo yaliyofichuliwa na uchunguzi wa mwili wa Rita Waeni.
Image: WILLIAM WANYOIKE