Watu maarufu wenye tofauti kubwa la kiumri na wapenzi wao

Mchekeshaji Eric Omondi amemuacha mkewe Lynne Njihia kwa takriban miongo miwili.

Muhtasari

•Hivi majuzi, mchekeshaji Eric Omondi alitetea pengo kubwa la kiumri baina yake na mpenziwe akisema  tafiti nyingi zinaonyesha mahusiano yenye pengo kubwa la kiumri yanadumu kuliko yale ya wapenzi walioko katika mabano sawa.

Watu maarufu wenye tofauti kubwa kiumri na wapenzi wao
Image: WILLIAM WANYOIKE