Mwanajeshi wa Urusi aomba msamaha katika kesi ya uhalifu wa kivita ya Ukraine

Muhtasari

• Katika kesi ya kwanza ya uhalifu wa kivita nchini Ukraine, mwanajeshi wa Urusi mwenye umri wa miaka 21 alikabiliwa na mjane wa raia wa Ukraine mwenye umri wa miaka 62 aliyemuua.

Katika kesi ya kwanza ya uhalifu wa kivita nchini Ukraine, mwanajeshi wa Urusi mwenye umri wa miaka 21 alikabiliwa na mjane wa raia wa Ukraine mwenye umri wa miaka 62 aliyemuua.