Nilibakwa na ndugu yangu mkubwa nikiwa na miaka 7-Mwanamke asimulia

Muhtasari
  • Nilibakwa na ndugu yangu mkubwa nikiwa na miaka 7
black-woman-crying-
black-woman-crying-

Visa vy watoto kutoweka, na kubakwa vimezidi kuripotiwa nchini kila kuchao, huku baadhi ya watoto umri wa chini wakipatikana wameuawa.

Ukifanyiwa kisa ukiwa mtoto, na kisa ambacho sio kizuri lazima ata siku zako au miaka yako ya uzeeni ukikumbuke kwani ni kisa ambacho haukukifurahia.

Mwanamke mmoja alisimulia kisa ambacho alikiri hatawahi sahau maishani mwake baada ya yale ndugu yake alimfanyia.

"Ndugu yangu mkubwa alini baka nikiwa na miaka 7, ni jambo ambalo nimejaribu kusahau lakini nimeshindwa nikienda nyumbani sipendi kumuona kwa sababu ya yale alinifanyia

Sitawahi msamehe kwa maana kutoka siku hiyo sikumuona kama ndugu yangu bali nilimuona kama mbakaji," Alieleza mwanamke huyo.

Ni jambo  lipi ambalo ulitendewa na hukusahau na hutawahi sahau.