Vitu vinavyoonyesha msanii Diamond anawapenda wanawe na Zari zaidi

Muhtasari
  • Vitu vinavyoonyesha msanii Diamond anawapenda wanawe na Zari zaidi
Image: Instagram

Staa wa bongo kutoka Tanzania Diamond Platnumz anafahamika kama baba wa watoto wanne kutoka kwa baby mama wake Zari Hassan,Hamisa Mobetto na Tanasha Donna.

Ni miongoni mwa wasanii ambao wamekuwa wakijukumikia mahitaji ya watoto wao kila mara.

Kutoka kwa watoto hao wanne Diamond hutumia muda wake mwingi na Princess Tiffah pamja na Prince Nillan ambao ni wanawe wa kwanza.

Tumeshuhudia Diamond akisafiri mara kwa mara Afrika kusini kuwatembelea wanawe, lakini ni mara ngapi amekuja Kenya kumuona mwanawe Naseeb Junior?

Imedaiwa kwamba Msanii huyo yuko AAfrika Kusini, kutokana na picha ambazo zimekuwa zikipakiwa mitandaoni.

Hizi hapa vitu vinavyoonesha kwamba Diamond anawapenda wanawe na zaidi zaidi;

1.Huwa nunulia zawadi

Kia mara akiwatembelea wanawe huwa anawanunulia zawadi, za kila aina.

2.Huwa tembelea kila mara

Sio mara moja au mbili ambapo Diiamond amesafiri Afrika Kusini kuwaona wanawe na kutumia muda wake na wao.

3.Huwapakia kwenye ukurasa wake wa instagram kila mara

Wawe wanasherehekea siku yao ya kuazaliwa au la familia ya Diamong imekuwa ikiwapakia wanawe Zari mitandaoni, kuliko vile wanapakia mwanawe Tanasha na Hamisa.

4.Diamond huwasifia wanawake kila mara kwenye kurasa zao za instagram, na kuonyesha jinsi anavyo wapenda.

5.Pia amekuwa akicheza na wao kwenye na ata kuwapigia simu akipata wakati