logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Maelezo muhimu kuhusu nchi inayovuma ya Equatorial Guinea

Equatorial Guinea ilianza kuvuma Jumatatu baada ya mwanasiasa mmmoja kupatikana na kashfa ya ngono iliyohusisha wanawake wengi.

image
na Samuel Mainajournalist

Makala07 November 2024 - 07:16

Muhtasari


  • Equatorial Guinea, nchi iliyoko Pwani ya Magharibi ya Ukanda wa Afrika ya Kati imekuwa ikivuma kwenye mitandao ya kijamii kwa siku mbili zilizopita.
  • Kashfa ya Engonga imetikisa duru za kisiasa za Equatorial Guinea, ambapo faragha na uaminifu vinathaminiwa sana.