logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Maafisa wakuu ambao Waziri Muturi aliwatafuta baada ya mwanawe kutekwa nyara

Waziri Justin Muturi alirekodi taarifa na polisi mnamo Januari 14, 2025.

image
na Samuel Mainajournalist

Makala16 January 2025 - 07:40

Muhtasari


  • Waziri Justin Muturi mnamo Jumanne alirekodi taarifa katika Kituo cha Polisi cha Kilimani kuhusu madai ya kutekwa nyara kwa mwanawe.
  • Waziri Muturi alifichua kuwa aliwapigia simu viongozi mbalimbali wakuu akiwemo rais katika juhudi za kumtafuta mwanawe.



RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved