(Video) IEBC yamulikwa na muungano wa Azimio kuhusu uazi katika oparesheni zake

Muhtasari

• Mbunge wa Suna East akizungumza mjini Malindi Junet Mohamed alionya IEBC dhidi ya kuajiri maafisa wafisadi.