(Picha) Wafuasi wa Azimio wajumuika nje ya Milimani kushuhudia uwasilishaji wa rufaa

Mawakili wa Raila tayari wamewasilisha rufaa kwa njia ya kielekroniki

Muhtasari

•Mawakili wa Raila wanatarajiwa kuwasilisha nakala ya rufaa katika mahakama ya Milimani kabla ya saa nane alasiri.

Wafuasi wa Azimio la Umoja wajumuika nje ya mahakama ya Milimani wakisubiri kuwasilishwa kwa rufaa la kupinga kuchaguliwa kwa William Ruto kama rais.

Image: ENOS TECHE

Mawakili wa mgombea urais wa Azimio Raila Odinga tayari wamewasilisha nakala ya kielektroniki ya rufaa ya kupinga ushindi wa Rais Mteule William Ruto.

Timu hiyo ya wanasheria hata hivyo wanatarajiwa kuwasilisha nakala ya rufaa katika mahakama ya Milimani kabla ya saa nane alasiri.

Baadhi ya wanasiasa wa Azimio tayari wamewasili katika mahakama hiyo kwa ajili ya kushuhudia kuwasilishwa kwa rufaa.

Umati wa wafuasi wa muungano huo pia walijitokeza nje ya mahakama ya Milimani Jumatatu asubuhi kumuunga mkono mgombea urais wao.

Baadhi ya wafuasi hao walionekana wakiwa wamebeba mabango ya kudai haki kutendeka. 

Wafuasi wa Azimio la Umoja wajumuika nje ya mahakama ya Milimani wakisubiri kuwasilishwa kwa rufaa la kupinga kuchaguliwa kwa William Ruto kama rais mnamo Agosti 22, 2022.

Maafisa wa usalama wakiwa katika barabara ya kuingilia katika Mahakama ya Milimani blaw kabla ya kuwasilisha ombi la kupinga kutangazwa kwa William Ruto kama Rais Mteule katika uchaguzi mkuu uliomalizika hivi majuzi.

Wanasiasa washirika wa Muungano wa Azimio Kenya wamefika katika sajili ndogo ya Mahakama ya Juu kabla ya kujazwa kwa ombi la Rais la kutaka kufuta uchaguzi wa William Ruto kama Rais mteule mnamo Agosti 22, 2022./

Image: DOUGLAS OKIDDY