(Picha) Maandalizi kabambe katika ukumbi wa Hoteli ya Glee atakapotumbuiza PJ Morton

Hii ni fursa yako ya kuleta familia yako pamoja kwa ajili ya Funzo la Jumapili lililojaa muziki wa hali ya juu, mitetemo mizuri na matukio yasiyoweza kusahaulika.

Muhtasari

• Jipatie tikiti zako sasa za PJ Morton Live jijini Nairobi na ujiandae kufurahia tukio la muziki tofauti na lilingineolote.

Maandalizi katika hoteli ya Glee
Maandalizi katika hoteli ya Glee
Image: Hisani

Mgahawa wa Glee jijini Nairobi upo tayari kwa viwango vyote kuandaa tamasha la kipekee la msanii PJ Morton kuanzia alasiri ya leo hadi usiku wa manane.

Hii ni fursa yako ya kuleta familia yako pamoja kwa ajili ya Funzo la Jumapili lililojaa muziki wa hali ya juu, mitetemo mizuri na matukio yasiyoweza kusahaulika.

Jipatie tikiti zako sasa za PJ Morton Live jijini Nairobi na ujiandae kufurahia tukio la muziki tofauti na lilingineolote.

Hizi hapa ni baadhi ya picha za jinsi Hoteli ya Glee inavyomsuburi PJ Morton kutikisa jukwaa.

Hoteli ya Glee
Hoteli ya Glee
Image: Hisani
Hoteli ya Glee
Hoteli ya Glee
Image: Hisani
Hoteli ya Glee
Hoteli ya Glee
Hoteli ya Glee
Hoteli ya Glee
Image: Hisani