KCPE 2021: Tazama jinsi shule ya mwanafunzi bora, Bruce Mackenzie ilivyopokea ushindi wake

Muhtasari

•Magata Bruce Mackenzie ameibuka mwanafunzi wa kwanza akijizolea alama 428 kati ya alama 500 zinazostahili. 

•Walimu, wanafunzi na jamii yote ya Gilgil Hill School wamepokea matokeo ya Mackenzie kwa vigelegele na nderemo tele.

Jinsi Gilgil Hill School ilivyopokea matokeo ya Magati Bruce Mackenzie
Jinsi Gilgil Hill School ilivyopokea matokeo ya Magati Bruce Mackenzie
Image: BEN NDONGA

Waziri wa elimu George Magoha hatimaye ameachilia matokeo ya mtihani wa KCPE 2021 ambao ulikamilika mapema mwezi huu.

Magoha alitangaza matokeo hayo mwendo wa saa saba adhuhuri ya Jumatatu katika makao makuu ya KNEC, Nairobi.

Magata Bruce Mackenzie ameibuka mwanafunzi wa kwanza akijizolea alama 428 kati ya alama 500 zinazostahili. Bruce alikuwa mtahiniwa katika shule ya msingi ya Gilgil Hills.

Jinsi shule ya Gilgil Hill ilivyosherehekea ushindi wa Mackenzie
Jinsi shule ya Gilgil Hill ilivyosherehekea ushindi wa Mackenzie
Image: BEN NDONGA

Walimu, wanafunzi na jamii yote ya Gilgil Hill School wamepokea matokeo ya Mackenzie kwa vigelegele na nderemo tele.

Tazama hapa chini:-

WATCH: The latest videos from the Star