KOKO COOKER

Kwa nini unafaa kununua KOKO Smart 2 Burner Cooker

KOKO Canister inahakikisha kwamba mafuta yanatoka bila kumwagika kila mahali.

Muhtasari
  • Unatumia kiberiti kuwasha cooker yako ya KOKO bila stress na utapata mafuta ya KOKO Fuel katika duka lililo karibu na kwako.
  • Unaweza kuitumia mahali popote nyumbani, ama ukiwa nje.
  • Inakuwezesha kuwa na mapishi kwa bei nafuu, ya kufaa na safi ambayo utapenda.
Image: KOKO COOKER

KOKO Smart 2 Burner Cooker ni jiko lenye burner mbili na hutumia mafuta aina ya KOKO Fuel. Inakuja na teknolojia ya Smart Fuel ambayo hukuwezesha kupika na burner mbili ukitumia mafuta kidogo mno wakati wowote. Unaweza kuitumia mahali popote nyumbani, ama ukiwa nje. Inakuwezesha kuwa na mapishi ya bei nafuu, ya kufaa na safi ambayo utapenda.

Manufaa ya kutumia KOKO Smart 2 Burner Cooker:-

1. Inakusaidia kutayarisha chakula haraka ukitumia burner zinazotoa moto safi. Tumia regulator ya jiko kubadilisha kiwango ya moto.

2. Inawaka kwa urahisi na inatoa moto wa kutosha kwa haraka sana. Unatumia kiberiti kuwasha cooker yako ya KOKO bila stress na utapata mafuta ya KOKO Fuel katika duka lililo karibu nawe.

3. Utapika bila kujali kuhusu harufu mbaya za  kukera, moshi jikoni, kuchafuka kwa sufuria ama kuta za nyumba yako kupata masizi.

4. KOKO Canister inahakikisha kwamba mafuta yanatoka bila kumwagika kila mahali. Hakuna tena wasiwasi juu ya milipuko au moto hatari.

Pata 2 burner Cooker ya KOKO sasa kwa bei nafuu na upunguze matumizi yako ya kila mwezi ya mafuta. Utapata mafuta yake kuanzia shilingi 30 tu kila wakati.

Kwa maelezo zaidi, piga simu kwa nambari 0800 720 716 ili uweze kusaidiwa ama kuongozwa namna utakavyonunua jiko lako. Vile vile waweza kutembelea agenti wa KOKO aliye karibu nawe ili uweze:-- Kufahamu jinsi KOKO Smart 2 Burner Cooker inafanya kazi-Kufungua KOKO Account na uanze kuweka akiba ili upate kununua KOKO Smart 2 Burner Cooker.-Kufahamu utaratibu wa kujaza KOKO Fuel.