(+PICHA) Nduguye Gachagua azikwa kaunti ya Nyeri

Muhtasari
  • Kakake Gachagua, James Rerian, alifariki Mei 7, 2022, akiwa na umri wa miaka 78
Nduguye Gachagua azikwa kaunti ya Nyeri
Image: FACEBOOK

Ndugu ya mgombea mwenza wa DP Ruto,Rigathi Gachagua  amezikwa hii leo (Jumanne) nyumbani kwake katika kaunti ya Nyeri.

Kakake Gachagua, James Rerian, alifariki Mei 7, 2022, akiwa na umri wa miaka 78.

Wanasiasa kadhaa hasa wa muungano wa Kenya Kwanza waliungana na familia ya Gachagua, ili kumpa ndugu yake heshima za mwisho.

Miongoni mwa waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na, naibu rais William Ruto,William Kabogo,Moses Wetangula miongoni mwa wanaisasa wengine.

Hizi hapa baadhi ya picha za hafla hiyo;

Nduguye Gachagua azikwa kaunti ya Nyeri
Image: FACEBOOK
Image: FACEBOOK
Image: FACEBOOK
Image: FACEBOOK
Image: FACEBOOK